Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiangalia alama za mipaka ya Eneo la Chuo Kikuu
cha Taifa(SUZA),alipotembelea leo huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(katikati) akifuatana na viongozi wa taasisi mbali mbali wakati
alipotembelea eneo la Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) huko Tunguu nje kidogo
ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiangalia ramani ya Eneo la Chuo Kikuu cha
Taifa(SUZA),alipofanya ziara maalum ya kuangalia ujenzi wa majengo ya
chuo hicho pamoja na mipaka ya eneo hilo jana huko Tunguu Nje ya Mji
wa Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(
kushoto) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa kampuni ya
Masasi Construction Co LTD Babubhai Ladwa,alipokuwa akiangalia ramani
ya ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA), Tunguu
alipotembelea leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiangalia mandhari ya Eneo la Chuo Kikuu cha
Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(katikati) akifuatana na Prof Idriss Ahmada Rai,pamoja na
viongozi mbali mbali wakati alipotembela kuona maendeleo ya hatua za
ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu
Nje ya Mji wa Zanzibar.Picha Kwa Hisani Ya Full Shangwe
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)