Ofisi ya Makamu wa Rais katika maonesho - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ofisi ya Makamu wa Rais katika maonesho

Afisa Mwandamizi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira Bi Fainahappy Kimambo akimuonyesha Vipeperushi vya Mkakati wa Mazingira  Bw Ali Hassan kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere maarufu kama Saba Saba Mjini Dar es Salaam.Picha Na Father Kidevu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages