NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA RAMBI RAMBI KWA WAHANGWA MKOA WA DAR-ES-SALAAM, - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA RAMBI RAMBI KWA WAHANGWA MKOA WA DAR-ES-SALAAM,


Bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU yenye makao yake Ujerumani, Inaungana na watanzania wote kwa kutoa pole na salam za rambi rambi kwa wahangwawaliopatwa na maafa ya mafuriko ya maji mkoa wa Dar-es-salaam.Maafa hayo yalisababishwa na mvua kubwa,yamepoteza maisha ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa wa makazi ya jamii na mali zao,pamoja na barabara mkoani Dar-es-salaam. Tunaotoa pole kwa wahangwa wote,Mwenyezi Mungu atupe uvumilivu na mshikamano katika kipindi hiki kigumu.

Umoja ni Nguvu
www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages