Chadema Watembelea Maeneo Yaliyokubwa na Mafuriko Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Chadema Watembelea Maeneo Yaliyokubwa na Mafuriko Jijini Dar es Salaam


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) Freeman Mbowe akiongazana na Naibu Katibu Mkuu na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe(mwenye kofia)na Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika wakitembelea eneo la Manzese Uzuri lililokumbwa na mafuriko wakati wa ziara ya viongozi wa chama hicho kwa waathirika jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages