Taswira Mbalimbali Za Waathirika Wa Mafuriko Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Mbalimbali Za Waathirika Wa Mafuriko Jijini Dar es Salaam

Mama Hamadi ambaye ni mmoja wa waathirika akielezea Jinsi alivyopata athari katika mafuriko eneo la Jangwani.
Mzee aliyeathirika kwa mafuriko akipita kwenye tundu la ukuta akiwa na ndoo yenye nguo kwenda kuanika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mchikichini ambapo imewekwa kambi ya waathirika.
Waathirika wakiwa wamebeba moja ya tendegu la kitanda lililookolewa.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages