Baada
ya kumaliza mkutano wa uwekezaji na wawekezaji watarajiwa wa Uingereza,
nchini Tanzania, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipata
fursa ya kukutana na Timu ya Urban Pulse Creative Media ili kufanya
mahojiano maalum kuhusiana na changamoto na maendeleo ndani ya wizara
yake, ambapo pia alipata kugongana uso kwa uso na wanamuziki wa bendi ya
Twanga Pepeta waliokuwa katika ziara yao nchini humo hivi karibuni.
Mh Waziri akimsikiliza Baraka Baraka
Mh Waziri Ngeleja akifanya mahojiano na Baraka Baraka
Mh Waziri Ngeleja akiongea na watanzania
Mh. Waziri Ngeleja akiwa na Frank pamoja Baraka kutoka Urban Pulse
Mbali na hapo, Ngelaja alikutana na baadhi ya watanzania waliopo London katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Wadau wakipozi kwa picha (kushoto) ni Jack Pemba na wenzake.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)