Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu 194 wa nchi wanachama wa
Itifaki wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya
kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano
mkuu wa 17 wa umoja huo uliofanyika jana Desemba 6 mjini Durban, Afrika
ya Kusini
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akizungumza kwenye mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu wa Nchi
wanachama 194 wa Itifaki wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi,
juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa
mkutano mkuu wa 17 wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi
Duniani uliofanyika jana Desemba 6, mjini Daban. Picha na Amour
Nassor-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)