Mshiriki
wa Tanzania katika shindano la Miss Tourism Queen International 2011,
Nelly kamweli amefanikiwa kushika nafasi ya 5 katika shindano hilo
lilifanyika Desemba 29, 2011 katika kituo cha Kimataifa cha Maonesho wa
Qujiang uliopo mji wa Xi'an, China. Taji hilo lilienda kwa mshiriki
kutoka Vietnam, nafasi ya pili ikienda Ufilipino, tatu ikienda nchini
Thailand ambapo nafasi ya nne ilichukuliwa na kimwana kutoka Nchini
Australia.
Pichani ni Nelly Kamwelu akijinadi katika shindano hilo.
Nelly (wapili kushoto) akiwa na washiriki wenzake jukwaani.
Nelly Kamweli kutoka tanzania akiwa na washindi wenzake wa 5 bora baada ya kukabidhiwa tuzo zao.









hongera bi nelly.
ReplyDelete