Nelly Kamweli afanya vyema Miss Tourism Queen International - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Nelly Kamweli afanya vyema Miss Tourism Queen International


 Mshiriki wa Tanzania katika shindano la Miss Tourism Queen International 2011, Nelly kamweli amefanikiwa kushika nafasi ya 5 katika shindano hilo lilifanyika Desemba 29, 2011 katika kituo cha Kimataifa cha Maonesho wa Qujiang  uliopo mji wa Xi'an, China. Taji hilo lilienda kwa mshiriki kutoka Vietnam, nafasi ya pili ikienda Ufilipino, tatu ikienda nchini Thailand ambapo nafasi ya nne ilichukuliwa na kimwana kutoka Nchini Australia.
 Pichani ni Nelly Kamwelu akijinadi katika shindano hilo.
 Nelly (wapili kushoto) akiwa na washiriki wenzake jukwaani.
Nelly Kamweli kutoka tanzania akiwa na washindi wenzake wa 5 bora baada ya kukabidhiwa tuzo zao.

1 comment:

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages