Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (wa
pili kulia) akisalimiana na Meneja wa Tawi la NBC Geita, Onael
Mpeku katika hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na mkurugenzi huyo
jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni mke wa Mafuru, Noella na kulia ni Meneja wa NBC Kahama, Martin Mkanda
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC,
Maharage Chande (kushoto) akibadilishana na mawazo na Mkuu wa Mauzo
Kitengo cha Makampuni,Minnie Adolf Kibuta katika hafla ya kumaliza mwaka
iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,
Lawrence Mafuru (kushoto mstari wa mbele) pamoja na mkewe, Noella Mafuru
(nyuma yake) wakiwaongoza baadhi ya wafanyakazi na wenza wao katika
hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na mkurugenzi huyo jijini Dar es Salaam jana
Mshauri wa Habari wa NBC, Redemptus Masanja (kushoto) na Mkuu
wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Mama Jane Dogani wakiselebuka pamoja
na baadhi ya wafanyakazi wa NBC na wenza wao, katika hafla ya
kumaliza mwaka iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence
Mafuru (hayupo pichani) jijini Dar es Salaam jana
Meneja Chapa na Matangazo wa NBC,
Arden Kitomari (katikati) akifanya vitu vyake pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa NBC, katika hafla ya kumaliza mwaka iliyoandaliwa na
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC,Lawrence Mafuru (hayupo pichani) jijini Dar
es Salaam jana
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC na wenza
wao, wakijimwaga ukumbini kusherehekea pati ya kumaliza mwaka
iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru
(hayupo pichani), jijini Dar es Salaam jana.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)