MSANII MOHAMEDI NICE AWAOMBA WASANII KUWASAIDIA WATU WENYE MAITAJI MAALUM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSANII MOHAMEDI NICE AWAOMBA WASANII KUWASAIDIA WATU WENYE MAITAJI MAALUM


Msanii Mohamedi Nice 'Mtunisi' akiwambia wanafunzi wa shule ya Buguruni Viziwi wakae kwa mstari kwa ajili ya kuwagawia bisckuti na juisi alizowapelekea kama zawadi kwa watoto hawo leo

Mohamed Nice 'Mtunisi' akiwaaaga wanafunzi wa shule ya BugViziwi Baada ya kuwazawadia zawadi za juisi na biscuti leo

Mohamedi Nice 'Mtunisi' akimkabidhi box kwa mwanafunzi wa buguruni viziwa, Chacha Mwita kwa niaba ya wanafunzi wenzake leo


Habari picha kwa niaba ya (www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages