Mkazi wa Iramba Akilinasua gari la Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Lameck Nchemba - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkazi wa Iramba Akilinasua gari la Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Lameck Nchemba

Mkazi wa Iramba akihatarisha usalama wake kwa kuingia chini ya gari la Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Lameck Nchemba kulinasua gari hilo lililokuwa limekwama kwenye mto Ndurumo Kata ya Kidaru Mkoani Singida.Picha na Abby Nkungu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages