MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU WAMALIZIKA KAMPALA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU WAMALIZIKA KAMPALA LEO

Rais Jakaya Kikwete akihutubia kabla ya kumalizika kwa mkutano wa viongozi wa nchi maziwa makuu ambao wameridhia kupinga ukatili wa kijinsia katika nchi za maziwa makuu wakati wa kilele cha mkutano wa nchi hizo leo  katika hoteli Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje ya jiji la Kampala

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages