Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 18 wa Hali ya
Siasa Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, leo ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo ulioanza leo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo ulioanza leo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Siasa Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia mkutano huo ulioanza leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP, Said Sud Said,
leo wakati akiagana na wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa hali ya
Siasa Tanzania, unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na
Taasisi ya REDET.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya wadau waliohudhuria Mkutano wa 18 wa Hali ya Saiasa, kuhusu Demokrasi na Mageuzi ya Kijamii Tanzania, ulioandaliwa na Taasisi ya REDET.
Picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)