Mheshimiwa John Cheyo Akibadilishana Mawazo na .Oscar Fernandez-Taranco aliyewahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP)Nchini Tanzania. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mheshimiwa John Cheyo Akibadilishana Mawazo na .Oscar Fernandez-Taranco aliyewahi kuwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP)Nchini Tanzania.


 Mbunge wa Bariadi Mashariki(UDP)John Cheyo akibadilishana mawazo na  Bw.Oscar Fernandez-Taranco aliyewahi kuwa Mwakilishi  Mkazi wa Shirika la  Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP) nchini Tanzania. muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa wabunge kutoka mabunge mbalimbali. Bw. Taranco ambaye kwa sasa ni Msadizi wa Katibu  Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akisimamia  Idara ya masuala ya Siasa alikuwa miongoni mwa watoa mada.Mhe.Cheyo anahudhuria mkutano huo akiliwakilisha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages