Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza kuwahutubia wananchi waliohudhuria mkesha wa sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck sadick, akizungumza jukwaani kutoa salam za sherehe hizo kwa wananchi.
Baadhi ya Viongozi wa Kisiasa na wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Baadhi ya Viongozi wa Kisiasa na wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Vijana wakishangia burudani iliyokuwa ikitolewa jukwaani na makundi mbalimbali ya sanaa, wakati wa sherehe hizo.
Wasanii wa Kundi la Safi wakiwapagawisha wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
Wanenguaji wa Bendi ya Msondo Ngoma, wakishambulia jukwaa wakati wa mkesha wa sherehe hizo.
Wasanii
wa Kikundi cha Sanaa cha JKT Mgulani, wakishambulia jukwaa kwa kucheza
ngoma ya Bugobogobo ya Kabila la Wasukuma, wakati wa sherehe hizo.Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>













No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)