NCHIMBI AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KAZI YA KUPIGANIA UHURU ILIYOFANYWA NA MWALIMU JULIUS K. NYERERE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NCHIMBI AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KAZI YA KUPIGANIA UHURU ILIYOFANYWA NA MWALIMU JULIUS K. NYERERE

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wana CCM wa mjini Bagamoyo baada ya kuzindua Mnara wa kumbukumbu kumbukumbu ya Mkutano wa Kwanza wa TANU kitaifa uliofanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere Bagamoyo mwaka 1954 wakati wa harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika. 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili mjini Bagamoyo alipoenda kuzindua Mnara wa kumbukumbu ya Mkutano wa Kwanza wa TANU kitaifa uliofanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere Bagamoyo mwaka 1954 wakati wa harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika.( Kulia) ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Martin Shigella.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wana CCM wa mjini Bagamoyo baada ya kuzindua Mnara wa kumbukumbu kumbukumbu ya Mkutano wa Kwanza wa TANU kitaifa uliofanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere Bagamoyo mwaka 1954 wakati wa harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika.
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM-UVCCM Mkoa wa Pwani akizungumza na wana CCM wa mjini Bagamoyo wakati wa Uzinduzi wa Mnara wa kumbukumbu ya Mkutano wa Kwanza wa TANU kitaifa uliofanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere Bagamoyo mwaka 1954 wakati wa harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika uliozinduliwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi akimuwakilisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda.
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Bagamoyo wakicheza kumkaribisha Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi alipokwenda kuzindua Mnara wa kumbukumbu ya Mkutano wa Kwanza wa TANU kitaifa uliofanywa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius K. Nyerere mjini Bagamoyo katika harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika.Picha zote na Lydia Churi wa Idara ya Habari-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages