Maalim Seif Sharif Hamad Akutana na Mwenyekiti Mstaafu Wa Cuf - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Maalim Seif Sharif Hamad Akutana na Mwenyekiti Mstaafu Wa Cuf


Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad(kushoto)akibadilishana mawazo na Mwenyekiti mstaafu wa Chama hicho Bwana Msobi Magene alipokwenda kumtembelea na kumjuilia hali nyumbani kwake Mwanza hivi karibuni.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages