Katibu
wa Halmashauri Kuuya Taifa (NEC) ya CCM, Nape Nnauye (kulia)
akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi wa vyombo vya Habari vya CCM,
Abdulrahman Kinana, kabla ya kufungua kikao cha kwanza cha bodi hiyo
leo, kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)