JINAMIZI LA AJALI LAANZA TENA MBEYA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO NA WENGINE 15 MAJERUHI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JINAMIZI LA AJALI LAANZA TENA MBEYA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO NA WENGINE 15 MAJERUHI

WATU wawili wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea majira ya alasiri leo katika Mlima Nyoka maili chache kufika Mji mdogo wa Uyole nje kidogo ya Jiji la Mbeya na wengine zaidi ya 15 kujeruhiwa.
Ajali hiyo imehusisha gari la abiria aina ya Coaster  yenye nambali T755 BHA lililokuwa likitokea Rujewa wilayani Mbarali kuja Jiji Mbeya na Lori la mizigo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam lenye namba za usajili T 859 AGL kugongana pande zote za kulia za magari hayo
Hili ni paa la juu la basi aina ya coaster

Hili  ni Roli aina ya scania lililogongana na basi aina ya coaster

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages