Ramadhani Nassibu kulia akipambana na Antoni Kariuki wa kenya Jana Nasibu arishinda kwa Point.
Ramadhani Nassibu akinyoshwa mkono juu na Refarii Said Chaku wakati wa mpambano wake na Antoni Kairuki
Rais wa Chama cha Ngumi za KUlipwa TPBO Yasin Abdalah akitangaza matokeo
Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa ngumi wakiingia ukumbini
Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa ngumi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)