Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Rahma Mwapachu akionyesha zawadi za promosheni hiyo
Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackison Mbando (kushoto) akizungumza
wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Mzuka. Kulia Mkurugenzi Mkuu wa
Airtel Tanzania, Sam Elangallor
Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (katikati), Meneja Masoko,
Rahma Mwapachu (kulia) na Meneja Uhusiano, Jackson Mbando, wakionyesha
zawadi zitakazoshindaniwa katika promosheni ya Mzuka itayoendeshwa na
Kampuni hiyo kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya Uhuru. Promosheni
hiyo ilizinduliwa Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)