Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati)
akikabidhi tiketi ya daraja la economy ya kutoka Dar es salaam kwenda
Dubai na kurudi kwa mmoja wa washindi waliobahatika katika hafla
iliyofanyika hivi karibuni katika Ubalozi wa Falme za Kiarabu kwa
kushirikiana na shirika la ndege la Emirates katika kusherekea
kumbukumbu ya miaka 40 ya uhuru wa nchi yao. Anayeshuhudia pembeni ni
Meneja wa Emirates Tanzania Bwana Abdul Aziz Al Hai.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)