Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) akimlisha keki Balozi wa Angola nchini, Profesa Ambrosi Lukoki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) akimlisha keki Balozi wa Angola nchini, Profesa Ambrosi Lukoki

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) akimlisha keki Balozi wa Angola nchini, Profesa Ambrosi Lukoki kwenye sherehe ya kutimiza miaka 35 ya Uhuru wa nchi yake iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto mke wa balozi, Fatma Lukoki. 
(Picha na Yusuf Badi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages