STR8 MUSICS INTER COLLEGE BASH YAFUNIKA MJINI DODOMA USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

STR8 MUSICS INTER COLLEGE BASH YAFUNIKA MJINI DODOMA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mc Hamis Mandi aka B12 akiwa katika shughuli hiyo kwenye show ya str8 music inter college special iliyoanza Kufanyikia Mkoani Dodoma katika Ukumbi Wa Royal Village.
Juma Mchopanga Aka J Mo akiwa kamua show ya kufa mtu katika special inter college bash iliyoandaliwa na STR8 MUSIC kupitia Watengenezaji Wa Sigara ya SM katika STR8 music Inter College Special Bash 2011 iliyoanza kurindima katika Mkoa wa Dodoma ndani ya Ukumbi wa Royal Village
 
Juma Nature akiwa na Rich One Wakifanya Kufuru katika show ya STR8 Muzik Inter College Iliyoanza kutimua Vumbi Mjini Dodoma Katika Viwanja Vya Royal Village Usiku Wa Kuamkia Leo
Mmiliki wa LUKAZA Blog akiwa na Mdau Wake Kutoka UDOM Chamber Wakishow Love katika STR8 MUZIK INTER COLLEG SPECIAL 2011 iliyofanyika ndani ya Viwanja Vya Royal Village
Mr Blue aka Byser Akifa makamuzi katika show ya STR8 Music iliyoandaliwa na SM katika Ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma 
 Mzee wa Tilalila Mr Blue alikuwepo kuwaimbisha mashabiki Tilalila...ilikuwa ni full Tilalila
 Baghdad kutoka Mexicana Lacavella aliwakilisha vilivyo pale stejini
 Msanii kutoka nchini Kenya Nameless alikuwepo kuhakikisha Burudani Inatolewa kwa wakazi wa Dodoma..
 Hawa ndo walimaliza utata pale Royal Village mjini Dodoma...ni P UNIT kutoka Kenya
 Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali walikuwepo katika kupunguza Stress za Shule...hawa ni wanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma(Udom)
 Mashabiki wakipata Burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali mjini Dodoma
Burudani inapoongoza hisia za mtu...Jamaa Mzuka ulimpanda hadi Kufikia Hatua ya Kufua Shati katika Show ya STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 ndani ya Dodoma Usiku Wa Kuamkia Leo
 
Mmiliki Na Muongozaji Wa LUKAZA BLOG JOSEPHAT LUKAZA nikishow love na Msanii Maarufu kutoka Nchini Kenya Nameless Mara Baada Ya Kushuka Kutoka Kwa  Steji
Wadau Wakijiachia Mbele ya Kamera Ya LUKAZA BLOG katika tamasha la STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 ndani ya Royal Village mjini Dodoma
Wacheza Show Wa Msanii Diamond Wakiwa Kazini Wakati Wakitoa buradani kabla bosi wao Diamond Hajapanda Jukwaani
Msanii Diamond Akifanya Vitu Vyake Ambapo Alikua Akicheza Mwimbo wake wa Moyo Wangu

Wadau Wa Lukaza Blog Kutoka UDOM wakiwa wamejiachia mbele ya kamera ya lukaza blogu kwaajili ya mafoto ya ukumbusho katika tamasha hilo la str8 muzik inter college special lililofanyika katika viwanja vya royal village mjini dodoma usiku wa kuamkia leo
Wananchi wakiwa makini kufuatilia Show Kutoka Kwa Wasanii katika Tamasha hilo la STR8 Muzik inter college Special 2011
Watu kama unavyowaona walifurika katika tamasha hilo la STR8 MUZIK lililofanyika Dodoma
B Dozen Akiwa Na Barnaba Katika Show Ya STR8 MUZIK iliyofanyika Mjini Dodoma
Mtangazaji wa kituo cha redio cha clouds na ambaye alikua host wa tamasha hilo B12 alipokua akitoa maelekezo 
Juma Nature akiwa na Rich One katika steji huku wariporomosha mangoma na full kucheza mapanga
Kamera Ya Lukaza blogu ilipomnasa Mdau Kutoka UDOM Julieth Gasto (aliyenyoosha kidole) akiwa na mzuka wa kutosha kwenye tamasha hilo la STR8 MUZIK INTER COLLEG SPECIAL 2011
Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>> 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages