Mbunge Wa Mbeya Mjini (CHADEMA)Joseph Mbilinyi Atembelea Eneo La Mafiati Mkoani Mbeya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mbunge Wa Mbeya Mjini (CHADEMA)Joseph Mbilinyi Atembelea Eneo La Mafiati Mkoani Mbeya


Mbunge wa Mbeya Mjini(Chadema) Joseph Mbilinyi,akiwa eneo la Mafiati walipokuwa wakifikishwa vijana waliokuwa wakikamatwa, aliyekaa chini huku akitokwa damu ni mmoja wa viajana walijeruhiwa katika vurugu hizo.
Askari wa Jeshi la Wananchi na JKT wakiwaamuru Vijana kuondoa mawe yaliyokuwa yamewekwa barabara ya Kabwe jana.
Askari wa Jeshi la Wananchi na JKT wakikabiliana na vijana maeneo ya Mafiati jijini Mbeya jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages