Waziri Mkuu Mizengo Pinda Azindua Ujenzi Wa Barabara Ya Dodoma - Mayamaya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Azindua Ujenzi Wa Barabara Ya Dodoma - Mayamaya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Wanne kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu na Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages