WANAHABARI watembelea makumbusho ya taifa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAHABARI watembelea makumbusho ya taifa

WANAHABARI WATEMBELEA JUMBA LA MAKUMBUSHO LA TAIFA
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, wakitembelea jumba la makumbusho la Taifa na kujionea baadhi ya magari yalioyowahi kutumiwa na viongozi wa ngazi za juu wa Serikali, ambayo kwa sasa yamewekwa mahala hapo kama sehemu ya makumbusho.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages