Vodacom Tanzania Yatoa Motisha Kwa Wafanyakazi Wake - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Vodacom Tanzania Yatoa Motisha Kwa Wafanyakazi Wake


Mfanyakazi wa Idara ya Udhibiti wa Mapato ya kampuni ya Vodacom Tanzania Maka Mwalwanda (kulia) akiwa ameshikilia kikombe cha zawadi ya kwanza ya makusanyo mazuri ya mapato kwa mwezi wa tisa kutoka kwa wateja wa malipo ya baada. Kushoto kwake ni Joseph Kyula aliyepata zawadi ya mshindi wa tatu. Mbali na vikombe watumishi hao walipatiwa pia zawadi ya fedha taslimu kama motisha ya kazi nzuri.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages