Baadhi ya washindi wa promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom
Tanzania nchi nzima wakiwa na Televisheni aina ya Samsung LCD
walizojishindia na kukabidhiwa jana katika hafla iliyoambatana na
tamasha la wazi la burudani katika ufukwe wa bahari ya Coco - Oysterbay
jijini Dar es salaam.
Meneja
Mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani Henry Tzamburakis kulia,
akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 11 mshindi wa
Promosheni ya Mega Bw.Said Mbegu inayoendeshwa na Vodacom Tanzania
nchini,Jumla ya washindi 16 kila mmoja walikabidhiwa hundi zao hapo
jana,anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Pwani Atilio
Lupala.Hafla ya kmakabidhiniano ilifanyika jana katika ufukwe wa bahari
ya Hindi jijini Dar es salaam.
Mmoja
wa wasanii Spider Man(Yombo Chaka) akisherehesha kwa kutembea juu ya
kamba wakati wa tamasha la burudani la wazi lililoandaliwa na kampuni
ya Vodacom Tanzania jana katika ufukwe wa bahari ya Coco jijini Da res
salaam kwa lengo la kutoa zawadi za fedha na televisheni kwa washindi wa
promosheni ya Mega inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini. Jumla ya
washindi kumi na sita kila mmoja alikabidhiwa shilingi milioni 11.
Mkuu
wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani Atilio Lupala mwenye suti nyeusi
akimpa hongera Bw.Alex Barush ambae ni mmoja wa washindi wa promoheni
ya Mega aliyejishindia Televisheni aina ya Samsung LCD wakati wa hafla
ya utoaji wa zawadi kwa washindi mbalimbali iliyofanyika jana kwenye
ufukwe wa bahari ya Coco jijini Dar es salaam
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Pwani Henry Tzamburakis
(kulia) akimkabidhi mshindi wa promosheni ya mega Televisheni aina ya
Samsung LCD Bw.Alex Barush aliyejishindia kwenye promosheni hiyo ya
Vodacom inayoendelea nchini kote. Zawadi kwa washindi mbalimbali
wanaotokeoa mikoa ya Pwani zilikabidhiwa jana katika hafla iliyoambatana
na tamasha la lawazi la burudani katika eneo la Ufukwe wa Coco jijini
Dar
Mmoja
wa wasanii Spider Man(Yombo Chaka) akisherehesha kwa kutembea juu ya
kamba wakati wa tamasha la burudani la wazi lililoandaliwa na kampuni
ya Vodacom Tanzania jana katika ufukwe wa bahari ya Coco jijini Da res
salaam kwa lengo la kutoa zawadi za fedha na televisheni kwa washindi wa
promosheni ya Mega inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini. Jumla ya
washindi kumi na sita kila mmoja alikabidhiwa shilingi milioni 11.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)