SHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU NA FILAMU YA C.P.U MLIMANI CITY 25/11/2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHEREHEKEA MIAKA 50 YA UHURU NA FILAMU YA C.P.U MLIMANI CITY 25/11/2011


WAKATI tukielekea katika kusherekea miaka 50 ya Uhuru wetu, ni wakati wako wa kuburudika nakufurahia filamu bora kabisa ya CPU kuanzia tarehe 25 novemba 2011, filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Haak NeelProduction kwa kushirikiana na Wegos Works zote za Jijini Dar es Salaam ni filamu ya kipekee, na nifilamu ya kwanza kushirikisha wanataaluma wengi katika tasnia ya filamu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages