JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete wa pili kutoka kushoto akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Novemba 21, 2-011 ukumbi wa 'White House' wa makao makuu ya chama hicho tawala mjini Dodoma. kulia katika picha na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na kutoka kushoto ni Rais Mstaafu William Benjamin Mkapa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Zanziba Aman Abeid Karume
Kutoka kulia ni Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na kushoto ni Nape Nnauye katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa CCM na Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mwigulu Nchemba na viongozi wengine wakihudhuria mkutano wa Kamati kuu ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akielekeza jambo wakati wa mkutano wa CCM mjini Dodoma kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bara Kapten John Chiligati na mmoja wa wajumbe. (Picha hii na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages