WAFANYAKAZI WA VODACOM KITENGO CHA MAUZO (TELESALES)WAKIWA TEAM BUILDING BEACH KOMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYAKAZI WA VODACOM KITENGO CHA MAUZO (TELESALES)WAKIWA TEAM BUILDING BEACH KOMBA

Sehemu ambayo wana vodacom  walipofanyia team building ambayo inayojulikana kama beach komba .
Manager wa Vodacom kitengo cha Sales (Telesales) katikati Christina Tungaraza,akifungua shughuli yenyewe,pamoja na kukaribisha baadhi ya wafanyakazi walio onyesha umahiri wao katika kazi na kuwazawadia zawadi aina ya kamera  ya Samsung yenye dhamani zaidi ya Tsh 300000/=  kila moja
Agness kassiba mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha sales (Telesales),aliye kamata nafasi ya kwanza katika utendaji bora kazini,aliyeshikilia  zawadi ya aina ya SAMSUNG na kuiweka adharani yenye thamani zaidi ya Tsh 300000/= aliyo zawadiwa na uongozi wa Telesales.
Robert Noel mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha sales (Telesales),aliye kamata nafasi ya pili katika utendaji bora kazini kwa muda mrefu,aliyeshikilia  zawadi ya aina ya SAMSUNG na kuiweka adharani yenye thamani zaidi ya Tsh 300000/= aliyo zawadiwa na uongozi wa Telesales.
Ommy Omary mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha sales (Telesales),aliye kamata nafasi ya Tatu katika utendaji bora kazini kwa muda mrefu,aliyeshikilia  zawadi ya aina ya SAMSUNG na kuiweka adharani yenye thamani zaidi ya Tsh 300000/= aliyo zawadiwa na uongozi wa Telesales.
Agness kassiba mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom kitengo cha sales (Telesales),akijaribu kuwa hasa wafanyakazi wengine utendaji bora na nyanja bora za kutumia ilikuwa kama yeye.

Manager wa Sales (Telesales) katikati akiwa na  Team leader Yasimin Monyoti upande wa kulia na Mwashasha Francis  wakiwa kwenye swimming Pool pamoja akishiriki kwa pamoja michezo ya kuogelea
Wafanyakazi  Baadhi wa Vodacom kitengo Sales(Telesales) wakishiriki kwa pamoja michezo ya kuogelea na baadhi ya michezo mbalimbali iliyo fanyika katika eneo la Beach komba
Katika Picha ya pamoja wana Telesales

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages