VODACOM MEGA PROMOSHENI YAZIDI KUWEZESHA WANANCHI.. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VODACOM MEGA PROMOSHENI YAZIDI KUWEZESHA WANANCHI..

 
Mega Promosheni  inayoendeshwa na kampuni ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania  imezidi kuchanja mbuga huku wananchi wakizidi kunufaika nayo kwa kushinda mamilioni ya shilingi pamoja na televisheni za kisasa aina ya Samsuing LCD. Mwishoni mwa wiki Geoffrey Msitu mkazi wa  Arusha aliingia katika orodha ya washindi wa kitita cha Shilingi Milioni Kumi na Moja, fedha ambazo kimsingi zitamsaidia kubadili maisha yake. Bw. Msitu pamoja na mshindi wa televisheni Bw.Godlove Mbise ambae nae ni mkazi wa Arusha walikabidhiwa zawadi zao mwishoni mwa wiki mjini Arusha na Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Nguvu Kamando

Vodacom Mega Promosheni bado inaendelea na wateja wa Vodacom nchi nzima wanayo nafasi ya kushiriki na kujishindia mamilioni ya fedha kuboresha maisha yao.

Ili kushirikli mteja wa Vodacom anapaswa kutuma neno BURE kwenda namba 15015

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages