Twanga Pepeta wavamia jiji la London - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Twanga Pepeta wavamia jiji la London

Bendi ya Twanga Pepeta imewasili leo mjini london tayari kwa makamuzi katika ukumbi wa Silver Spoon London kwa ajili ya Kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa wa Tanganyika. Usikose show hii ya Ukweli

Asanteni,

Urban Pulse Creative

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages