JUMA RAMADHANI, ROBBY MWITA NA AMAN WAPOROMOSHA PATI YA NGUVU KWAAJILI YA KUWAPONGEZA USIKU WA KUAMKIA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JUMA RAMADHANI, ROBBY MWITA NA AMAN WAPOROMOSHA PATI YA NGUVU KWAAJILI YA KUWAPONGEZA USIKU WA KUAMKIA LEO

Robby Mwita Akikata keki tayari kwa kuwalisha wageni waalikwa, ndugu jamaa na marafiki katika sherehe ya kumpongeza kuhitimu shahada yake ya kwanza hafla iliyofanyika katika hotel robert usiku wa leo
Juma Ramadhani Na Amani Wakiwa Mbele Wakati wa hafla ya Kuwapongeza kutunukiwa shahada zao leo katika hotel ya Robert iliyopo Area A Dodoma.
Robby akipokea Zawadi kutoka Kwa Wahitimu wenzake katika hafla ya kuwapongeza iliyofanyika katika hotel ya robert iliyopo mjini dodoma usiku wa kuamkia leo
Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Robby, Juma na AMani wakiserebuka Katika Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Robert kwaajili ya kuwapongeza Kwa kuhitimu
Wahitimu Kutoka Udom Kutoka Kushoto Ni Aman, Juma Ramadhani na Erika Wakistaajabu wageni waalikwa wanavyoserebuka Muziki katika hafla ya kuwapongeza kuhitimu
Robby akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa katika hafla ya kuwapongeza kwa kuhitimu shahada zao za kwanza usiku wa kuamka leo
Mama Mzazi Wa Robby Akitoa Zawadi kwa mwanae
Sherehe bila Muziki Hakuna Kitu hapa Wadau wakiserebuka Masebene mwanzo mwisho
Baadhi ya wageni Waalikwa wakiwa makini kufuatilia hafla nzima usiku wa kuamkia leo
Juma Ramadhani wa pili kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Robby na Ndugu jamaa na Marafiki kabla ya kwenda kwenye hafla ya kuwapongeza usiku wa kuamkia leo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages