JK KATIKA MAHAFALI YA 11 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK KATIKA MAHAFALI YA 11 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO

Rais Dk.Jakaya Kikwete akihutubia katika mahafali ya 11 ya Chuo cha Uongozi na Mahakama yaliyofanyika Lushoto mkoani Tanga leo ambapo pia mwenyekiti wa bodi ya chuo hicho Jaji Mkuu Mohamed Chande alihuhuria katika mahafali hayo. (PICHA NA IKULU)
Rais Dk Jakaya Kikwete na Jaji Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mh Mohamed Chande Othman wakiwa katika mmahafali hayo.
Rais Dk. Jakaya Kikwete na wahitimu wa Stashahada wakiwa katika pich ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages