TBL YAPANDISHA BENDERA YA TAIFA MLIMA KILIMANJARO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TBL YAPANDISHA BENDERA YA TAIFA MLIMA KILIMANJARO

Daniel Ngowi na Aloyce Joseph wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro walipoipandisha bendera ya Taifa ikiwa ni kilele cha Kampeni ya Kilimanjaro Jivunie uTanzania iliyokuwa ikiendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ili kusherekea miaka 50 ya Uhuru.Aloyce Joseph (kushoto) na Daniel Ngowi wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro walipoipandisha bendera ya Taifa ikiwa ni kilele cha Kampeni ya Kilimanjaro Jivunie uTanzania iliyokuwa ikiendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ili kusherehekea miaka 50 ya Uhuru.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages