MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDORO ATOA POLE KWA WANANCHI WA TUNDUMA BAADA YA KUUNGULIWA NA SOKO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDORO ATOA POLE KWA WANANCHI WA TUNDUMA BAADA YA KUUNGULIWA NA SOKO

Mkuu wa mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara wa Tunduma baada ya tukio la ajali ya Moto jana jioni ambapo amewapa pole kutokana na maafa hayo.

Watu wakiokota mabaki ya vitu vilivyoungua kwenye maduka ya eneo la TUNDUMA maarufu kama Mansese

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro akitembelea eneo ambako moto umetekeza maduka katika mji wa Tunduma
Moto ukiendelea kuwaka kutokana na ajali iliyotokea jana jioni na kusababisha hasara ya mabilion ya fedha katika mji wa Tunduma wilayani Mbozi(kwa hisani ya Indaba Africa)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages