HATIMAYE BARABARA YA ARUSHA KARATU YAANZA KUPITIKA JAPO KWA SHIDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HATIMAYE BARABARA YA ARUSHA KARATU YAANZA KUPITIKA JAPO KWA SHIDA

Hatimaye mawasliano ya barabara kati ya Arusha na Karatu yamerejea kama mwanzo baada ya barabara hiyo kushindikana kupitika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisa kufurika kwa mto kirurumo ambao ulimwaga maji mengi hivyo kusukuma mawe na magogo na kupelekea kuziba barabara pamoja na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha.hivi sasa magari yanapita ng'ambo na watembea kwa miguu pamoja nawatalii ambao walikuwa wakienda katika hifadhi ya ngorongoro.
Baadhi ya Mifugo ikipita upande mmoja wa barabara huku upande mwingine ukiwa umesheheni mawe. Picha na Chris Mfinanga.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages