Taswira Zaidi Za Mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na Viongozi Waandamizi wa Chadema Uliodumu Zaidi Ya Masaa Matano Ikulu Jijini Dar es Salaam Nakupelekea Kufikia Muafaka - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Zaidi Za Mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na Viongozi Waandamizi wa Chadema Uliodumu Zaidi Ya Masaa Matano Ikulu Jijini Dar es Salaam Nakupelekea Kufikia Muafaka


Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mwenyeliti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana Muda Mfupi baada ya kumaliza Mkutano wa Historia uliodumu kwa Masaa Matano
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Kiongozi Mwandamizi wa Chadema Profesa Mwesiga Baregu,  Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana Muda Mfupi baada ya kumaliza Mkutano wa Historia uliodumu kwa Masaa Matano jana
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Kiongozi Mwandamizi wa Chadema Profesa Abdallah Safari  Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana Muda Mfupi baada ya kumaliza Mkutano wa Historia uliodumu kwa Masaa Matano jana
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mheshimiwa Tundu Lissu Mbunge wa Chadema Ikulu Jijini Dar es Salaam Jana Muda Mfupi baada ya kumaliza Mkutano wa Historia uliodumu kwa Masaa Matano jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages