
Mbunge wa Mbeya Mjini-Chadema Mheshimiwa
Joseph Mbilinyi aka Mr II akiwa jukwaani na Mbunge wa Ubungo-Chadema ,
John Mnyika. Wabunge takribani wanane walisindikiza uzinduzi wake huo
ulioenda sambamba na uzinduzi wa kitabu kinachoeleza historia yake
katika maendelea ya muziki wa Rap Bongo kwenye Tamasha lake lilofunika
juzi Jijini Dar es Salaam Lilokwenda Kwa Jina laVinega
Mheshimiwa Mbunge Joseph akiwa anachana
mistari jukwaani usiku wa kuamkia juzi, nyomi ilikuwa ya kutisha.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)