Kada wa CCM Mohammed Raza Achukua Fomu Kuwania Jimbo La Uzini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kada wa CCM Mohammed Raza Achukua Fomu Kuwania Jimbo La Uzini


Mwenyekiti Wa Kamati Ya Mapinduzi Cup na Kada wa Chama  Cha Mapinduzi(CCM)Mohamedd Raza akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuchukua fomu za kuwania jimbo la uzini kwa tiketi ya CCM leoVisiwani Zanzibar
 Mwenyekiti Wa Kamati Ya Mapinduzi Cup na Kada wa Chama  Cha Mapinduzi(CCM)Mohamedd Raza akionyesha Fomu yake kwa waandishi Wa Habari leo visiwani zanzibar
Mwenyekiti Wa Kamati Ya Mapinduzi Cup na Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mohamedd Raza amechukua fomu rasmi kuwania jimbo la Uzini kwa tiketi ya CCM Visiwani Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages