TASWIRA ZA WAZIRI MKUU KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA WAZIRI MKUU KUTOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecelakwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba  9, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Esther Matiko (kushoto) na Leticia Nyerere  kweye jengo  la utawala la Bunge mjini Dodoma  Novemba 9,2011.
Waaziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas  kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma Novemba 8, 2011. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher Ford, Paul  Kunert, Mikael Karlsson  na (kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1Plus Communication, Fina Mango. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages