Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Akutana na Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Akutana na Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Klaus-Peter Brandes alipofika Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.
 Mukama akisisitiza jambo wakati akipiga stori na Balozi huyo
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Klaus-Peter Brandes, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages