Taswira Kutoka Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Kutoka Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mjini Dodoma

Zainabu Kawawa akimbumbatia kwa bashasha Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma. Katikati ni Katibu Mkuu wa UVCCM Martine Shigela
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akisalimiana na Waziri Mkuu Fredrick Sumaye Mjini Dodoma
Katibu wa NEC,Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba(Kulia) akimsalimia na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Mjini Dodoma Katikati ni Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages