Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akabidhi Rasmi Leseni Ya Kurusha Matangazo Kampuni ya Star Times ya China Visiwani Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akabidhi Rasmi Leseni Ya Kurusha Matangazo Kampuni ya Star Times ya China Visiwani Zanzibar


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipokuwa akitoa hotuba katika Sherehe ya kukabidhiwa Leseni Kampuni ya Star Times ya China kufanya kazi Zanzibar iliyofanyika leo Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Star Times ya China Pang Xin Xing akitoa hotuba ndogo katika Sherehe ya kukabidhiwa Leseni Kampuni hiyo kufanya kazi Zanzibar iliyofanyika leo Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Joseph Kilange akimkabidhi Mwenyekiti wa Kampuni ya Star Times ya China Pang Xin Xing Leseni Kampuni hiyo kufanya kazi zake rasmi Zanzibar katika sherehe iliyofanyika leo Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipokuwa na mazungumzo na Naibu Waziri wa Redio Televisheni na Filamu wa China Li Wei wa mwisho kuliani kwake kabla ya Sherehe ya kukabidhiwa Leseni Kampuni ya Star Times ya China kufanya kazi Zanzibar iliyofanyika leo Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wa Kampuni ya Star Times ya China baada ya makabidhiano ya Leseni kwa Kampuni hiyo katika sherehe zilizofanyika leo Hoteli ya Zanzibar Beach Resort.Picha zote na Hamad Hijja - Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages