TASWIRA KATIKA PICHA MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA KATIKA PICHA MJINI DODOMA LEO

 Kina Mama wakiwa na matenga yao matupu wakielekea kupakia bidhaa zao ili kufikisha katika soko la mjini Dodoma kwa ajili ya kuuza kwa wateja wao kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto leo.
 Kina Mama wajasaliamali wakipita katika mitaa ya mjini Dodoma leo kutafuta wateja wa bidhaa zao za matunda kama walivyonaswa na Kamera ya Sufianimafito leo.
Kija mfanyabiashara wa mitumba ya mkononi akipita katika mitaa ya Mjini Dodoma leo akitafuta wateja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages