MBWA MGONGONI MWA BINADAMU KWA RAHA ZAKE AKIPELEKWA HOSPITALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBWA MGONGONI MWA BINADAMU KWA RAHA ZAKE AKIPELEKWA HOSPITALI

Huyu Jamaa alikutwa na kamera ya Sufianimafoto Reporter jijini Arusha hivi karibuni, akiwa amembeba mbwa wake mgongoni jambo ambalo lilimshanga kila mmoja aliyemuona katika staili hii na alipoulizwa alidai kuwa mbwa wake anaumwa na hivyo alikuwa akimpeleka Hospitali.  Eti kwa maisha ya kawaida ya Waafrika na hasa Watanzania hali kama hii iki sawa? na je waweza kumfikiliaje mtu kama huyu pindi unapokutana naye akiwa katika hali kama hii?Picha Na Sufiani Mafoto

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages