Kuzoa Au Kusambaza Taka? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kuzoa Au Kusambaza Taka?

Limebeba uchafu kwa dhana ya kusafisha mazingira.Lakini njia nzima linadondosha uchafu.limeonekana njia ya Tazara kwenda uwanja wa ndege.Sasa hili ni gari la kuzoa au kusambaza uchafu? Picha Na Mjengwa Blogu


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages